Tutanadi na kukamata mali za wadaiwa kodi ya pango la ardhi baada ya Aprili 30,2023.

Ili kuwezesha upatikanaji wa huduma za ukadiriaji kodi kwa wakati serikali imeagiza Ofisi zote za ardhi nchini kutoa huduma siku zote za juma hadi mwisho wa mwezi aprili.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula ametoa agizo hilo  Februari 07, 2023 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma.Waziri wa Aridhi Dkt